Washa/Zima Swichi

Kabla ya kuondoka kwa nyumba leo, mwache, mtoto wako awe ndiye wa kuzima taa. Wasaidie kuzima swichi zote na mzungumze kuhusu jinsi vitendo vyao vya kuzima swichi huleta giza na kufungua taa huleta mwangaza.